Your browser does not support JavaScript or it may be disabled!
rediff.com
 India As It Happens
Rediff Labs will showcase innovative products that rediff is working on behind the scenes.
News   |   Images
NEWS ON MOBILE
Get Realtime News
on your webpage

About 25 results for "askari zaidi"

Wananchi zaidi ya 100 wavamia machimbo

Wamevamia eneo la mwekezaji la kampuni ya Nyanghwale Diamond Ltd ya mkoani humo na kutaka kuchimba almasi kwa nguvu kwa madai kuwa mwekezaji huyo ametelekeza eneo hilo. Baadhi ya wachimbaji hao, Masudi Juma na mwingine aliyejitambulisha kwa jina ... IPP Media, 1 week ago

Uchaguzi Zimbabwe 2018, mwisho wa Rais Mugabe?

Hesabu hizi ni pamoja na hatua yake ya kutangaza hadharani kuwa atagombea tena, kwenye uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018. Pamoja na umri wake wa miaka 92 kwa hivi sasa, Rais Mugabe anajiandaa kugombea tena kupitia tiketi ya chama ...
 IPP Media2 weeks ago

Faini hazisaidii kumaliza makosa barabarani

Kama elimu na busara ya kawaida ikitumika itasaidia kuwaelimisha wananchi wanaotumia vyombo vya moto yakiwamo magari, bajaji na pikipiki. Lakini kwa bahati mbaya hakuna mtu anayefikiria suala la utoaji wa elimu kuhusu sheria na taratibu za ...
 IPP Media2 weeks ago

RC ang'aka kushamiri kilimo cha bangi

Aidha, mkuu huyo wa mkoa ameliagiza jeshi hilo kuwasaka usiku na mchana wanaojihusisha na kilimo hicho na kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Dk. Kebwe alitoa agizo hilo wakati wa uchomaji moto bangi zaidi yaa kilo 250 ambazo zilikamatwa katika ...
 IPP Media2 weeks ago

Magonjwa 4 yanawatesa wakazi Dar

"Uzee huu nitapata wapi fedha za kupima afya yangu kama wanavyofanya hapa. Kwanza, ukienda hospitali kumuona tu daktari bingwa ni Sh. 30,000, lakini leo nakutana na madaktari bingwa wa magonjwa tofauti bure napima bure". Hayo ni maelezo ya Mzee ...
 IPP Media2 weeks ago

Takwimu za ajali zinatisha zidhibitiwe kikamilifu

Kwa takribani miaka mitatu iliyopita kuanzia mwaka 2013 hadi kufikia Desemba mwaka 2015 alisema kundi lililoongoza kwa kuathiriwa na matukio ya ajali ni abiria idadi inaonyesha watu 3,444 walipoteza maisha na majeruhi 20,181. Masauni akalitaja ...
 IPP Media3 weeks ago

CUF watumie busara kumaliza mpasuko

Jaji Mutungi alitangaza uamuzi huo mwishoni mwa wiki, akisema uamuzi wa kikao cha Baraza Kuu la Uongozi wa Agosti 29 ulikiuka katiba ya CUF. Wabunge waliovuliwa uanachama wa chama hicho ni Maftaha Abdallah Nachuma wa Jimbo la Mtwara Mjini na ...
 IPP Media4 weeks ago

Wamachinga Kariakoo wawekewe utaratibu

Miezi kadhaa iliyopita, wafanyabiashara hao walipigwa marufuku kupanga bidhaa zao chini, lakini ukipita sasa hivi, mitaa karibu yote imevamiwa na kuzibwa na bidhaa kiasi cha kutoruhusu magari kupita na watembea kwa miguu kupita kwa shida. Wakati ...
 IPP Media1 month ago

Govt springs into action after Bahamas leaks

Finance minister promises no discrimination in investigation. PHOTO: REUTERS ISLAMABAD: Breaking with its past practice of dilly-dallying on action against owners of offshore companies, the government on Thursday decided to serve tax notices on ...
 The Express Tribune1 month ago

Kundi la Kigaidi la ISIS lakiri kuhusika katika shambulizi Mombasa

Kundi la Kigaidi la ISIS limedai kuhusika na jaribio la kigaidi katika kituo cha polisi cha Mombasa -ISIS wamesema kuwawanawake watatu waliohusika walikuwa askari wao huku kukitokea ripoti mpya kuhusu washukiwa waliouawa na polisi Habari ...
 Sokolako1 month ago
Prev | Next
Personalize your Realtimeclose [x]
Add content to your personalized tab - My News
Add upto 6 topics of your interest:
for eg.2g Scam , World
1.
2.
3.
4.
5.
6.
Personalize the tabs display. ( You can add or remove the tabs )
AlertsGet updates on latest news & your favourite topics right in your inbox.Set an Alert|Manage your Alerts

Get

Realtime News

on your Webpage

Add Widget >Get your members hooked!
    
Alerts
Get updated on latest news & your favorite topics right in your inbox!
 
More     Less